Empower Public Statement for Immediate Release

By Empower Limited on 18 Apr 2023Empower

Empower

17 April 2023

Public Statement: Empower Limited

It has become apparent to Empower Limited that there is a circulation in the public domain of an organisation named “Empower Tanzania” that has been involved in the wrongful training of teachers in Same, Kilimanjaro region.

Empower Limited would like to publicly declare that it has no affiliation, membership or interaction with the organisation in question named “Empower Tanzania”.

Empower Limited does not operate any teacher training programme and neither does it have any programmes operating in the Kilimanjaro Region.

Positively, Empower Limited does have a Corporate Social Responsibility Programme named ‘Generation Empower’ that is validated by our academic partners, The University of Dar es Salaam, The University of Dodoma & The St Augustine University of Tanzania.

We request that the public disassociate us with this case and do not request our comment on this case as it is not associated with our organisation in any way whatsoever.

In case you would have any further questions or clarifications please contact us at enquiry@empower.co.tz

 

__________________________

 

17 Aprili 2023

Taarifa kwa Umma: Empower Limited

Empower Limited tume arifiwa juu ya taarifa katika mitandao mbali mbali juu ya taasisi isiyo ya kiserikali “Empower Tanzania” ambayo imehusishwa na kutoa mafunzo yasiyofaa kwa walimu wilayani Same mkoa wa Kiliamjaro.

Kama Empower Limited, tungependa kuutaarifu umma kuwa hatuna uhusiano wowote, wala ushirikiano na taasisi ya “Empower Tanzania”

Empower Limited, haijihusishi na mradi wowote wa kuwaelimisha walimu wala haina mradi wowote endelevu ndani ya mkoa wa Kilimanjaro.

Empower Limited ina mradi pekee wa kurudisha kwa jamii uitwao Generation Empower ambao unalenga kuelimisha wanafunzi wa elimu ya juu na kuwawezesha kujiandaa na soko la ajira na kujiajiri tukishirikiana na washirika wetu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chuo Kikuu cha Dodoma na Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino, Mwanza.

Tunapenda kuutaarifu umma kutoendelea kutuhusisha na kutushirikisha na swala hili kwani hatuna uhusiano wowote na taasisi tajwa.

Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia barua pepe enquiry@empower.co.tz